Mwanzo 47:31 - Compare All Versions
Mwanzo 47:31 BHN (Biblia Habari Njema)
Yakobo akamwambia, “Niapie!” Yosefu akamwapia. Kisha Israeli akainamia upande wa kichwa cha kitanda chake.
Shirikisha
Mwanzo 47 BHNMwanzo 47:31 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akanena, Niapie. Naye akamwapia. Israeli akajiinamisha kwenye mchago wa kitanda.
Shirikisha
Mwanzo 47 SRUVMwanzo 47:31 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanena, Niapie. Naye akamwapia. Israeli akajiinamisha kwenye mchago wa kitanda.
Shirikisha
Mwanzo 47 SUVMwanzo 47:31 NEN (Neno)
Akamwambia, “Niapie.” Ndipo Yusufu akamwapia, naye Israeli akaabudu akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
Shirikisha
Mwanzo 47 NEN