Mwanzo 47:20
Mwanzo 47:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo Yosefu akainunua nchi yote ya Misri iwe mali ya Farao. Kila Mmisri alilazimika kuuza shamba lake, kwa jinsi njaa ilivyokuwa kali. Nchi yote ikawa mali ya Farao
Shirikisha
Soma Mwanzo 47Mwanzo 47:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yusufu akamnunulia Farao nchi yote ya Misri; maana Wamisri waliuza kila mtu shamba lake; kwa sababu njaa ilikuwa imewazidi sana, nchi ikawa mali yake Farao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 47