Mwanzo 44:33
Mwanzo 44:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, ee bwana, nakusihi, mimi mtumishi wako, nibaki, niwe mtumwa wako badala ya kijana huyu. Mwache yeye arudi nyumbani pamoja na ndugu zake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 44Mwanzo 44:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, sasa nakusihi, uniache mimi mtumwa wako nikae badala ya huyu kijana kuwa mtumwa wa bwana wangu; na huyu kijana umwache aende pamoja na nduguze.
Shirikisha
Soma Mwanzo 44