Mwanzo 43:6
Mwanzo 43:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Israeli akasema, “Kwa nini mkanitia taabuni kwa kumwambia huyo mtu kwamba mnaye ndugu mwingine?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 43Mwanzo 43:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Israeli akasema, Mbona mmenitendea vibaya hata mkamwarifu mtu yule ya kwamba mna ndugu mwingine?
Shirikisha
Soma Mwanzo 43