Mwanzo 43:13-14
Mwanzo 43:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mchukueni pia ndugu yenu mwende kwa huyo mtu. Mungu Mwenye Nguvu na awajalieni kupata huruma mbele ya mtu huyo, awaachieni yule ndugu yenu mwingine na Benyamini warudi pamoja nanyi. Kwa upande wangu, ikinipasa kufiwa na wanangu basi!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 43Mwanzo 43:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtwaeni na ndugu yenu, mwondoke na kurudi kwa mtu yule. Mungu Mwenyezi na awape rehema usoni pa mtu yule ili awafungulie ndugu yenu huyo mwingine, na Benyamini. Nami nikifiwa na watoto wangu, nimefiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 43