Mwanzo 42:9
Mwanzo 42:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Akakumbuka ndoto zake za zamani juu ya kaka zake, akawaambia, “Nyinyi ni wapelelezi. Mmekuja kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 42Mwanzo 42:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akazikumbuka zile ndoto alizowaotea. Akawaambia, Wapelelezi ninyi, mmekuja ili mwuone utupu wa nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 42