Mwanzo 42:7
Mwanzo 42:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu alipowaona kaka zake akawatambua, lakini akajifanya kana kwamba hawafahamu, akasema nao kwa ukali. Akawauliza, “Mmetoka wapi nyinyi?” Wakamjibu, “Tumetoka nchini Kanaani, tumekuja kununua chakula.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 42Mwanzo 42:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akawaona nduguze, akawatambua, lakini alijifanya kama mgeni kwao. Akasema nao kwa maneno makali, akawaambia, Mmetoka wapi ninyi? Wakasema. Tumetoka nchi ya Kanaani, ili tununue chakula.
Shirikisha
Soma Mwanzo 42