Mwanzo 41:46
Mwanzo 41:46 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kumtumikia Farao, mfalme wa Misri. Alitoka nyumbani kwa Farao na kuitembelea nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yusufu alikuwa mwenye miaka thelathini, aliposimama mbele ya Farao, mfalme wa Misri. Yusufu akatoka mbele ya uso wa Farao, akasafiri katika nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41