Mwanzo 41:41
Mwanzo 41:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41