Mwanzo 41:37
Mwanzo 41:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Shauri alilotoa Yosefu lilionekana kuwa jema mbele ya Farao na watumishi wake wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno hilo likawa jema machoni pa Farao, na machoni pa watumishi wake wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41