Mwanzo 41:19
Mwanzo 41:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha, tazama, ng’ombe saba wengine wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya sana, wamekonda; katika nchi yote ya Misri sijaona kama hao kwa udhaifu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Hao wakafuatwa na ng'ombe wengine saba dhaifu, wembamba na wamekonda sana. Mimi sijapata kamwe kuona ng'ombe wa hali hiyo katika nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha, tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya sana, wamekonda; katika nchi yote ya Misri sijaona kama hao kwa udhaifu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41