Mwanzo 41:13
Mwanzo 41:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Alivyotafsiri ndivyo ilivyotokea: Mimi nikarudishwa kazini kwangu, na yule mwoka mikate mkuu akatundikwa mtini.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nilirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41