Mwanzo 41:1
Mwanzo 41:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: Alijikuta amesimama kando ya mto Nili
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41