Mwanzo 40:5
Mwanzo 40:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, usiku mmoja, yule mtunza vinywaji mkuu na yule mwoka mikate mkuu wa mfalme wa Misri, waliota ndoto humo gerezani, kila mmoja na ndoto yake tofauti.
Shirikisha
Soma Mwanzo 40Mwanzo 40:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaota ndoto wote wawili, kila mtu ndoto yake usiku mmoja, kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake, mnyweshaji na mwokaji wa mfalme wa Misri waliofungwa gerezani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 40