Mwanzo 40:13
Mwanzo 40:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baada ya siku tatu Farao atakiinua kichwa chako, atakurudisha katika kazi yako; nawe utampa Farao kikombe mkononi mwake, kama desturi ya kwanza, ulipokuwa mnyweshaji wake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 40Mwanzo 40:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya siku tatu Farao atakunyanyua kutoka gerezani na kukurudisha tena katika cheo chako. Utaweza tena kumpa Farao kikombe mkononi kama ulivyokuwa unafanya hapo awali.
Shirikisha
Soma Mwanzo 40Mwanzo 40:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baada ya siku tatu Farao atakiinua kichwa chako, atakurudisha katika kazi yako; nawe utampa Farao kikombe mkononi mwake, kama desturi ya kwanza, ulipokuwa mnyweshaji wake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 40