Mwanzo 4:9
Mwanzo 4:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Kaini akamjibu, “Mimi sijui! Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Shirikisha
Soma Mwanzo 4