Mwanzo 4:8
Mwanzo 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]. Ikawa walipokuwapo uwandani, Kaini akamwinukia Habili nduguye, akamwua.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4