Mwanzo 4:3-4
Mwanzo 4:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, naye Abeli akamtolea Mungu sadaka ya wazawa wa kwanza wa kondoo wake na nyama nono. Mwenyezi-Mungu akapendezwa na Abeli na tambiko yake
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA. Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. BWANA akamtakabali Habili na sadaka yake
Shirikisha
Soma Mwanzo 4