Mwanzo 4:1
Mwanzo 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Adamu akalala na Hawa mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Hawa akasema, “Nimepata mtoto wa kiume kwa msaada wa Mwenyezi-Mungu!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto wa kiume kwa msaada wa BWANA.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4