Mwanzo 39:22
Mwanzo 39:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliokuwemo gerezani; na yote yaliyofanywa humo, yeye ndiye aliyeyafanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:22 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa hiyo msimamizi wa gereza akamweka Yusufu awe mkuu wa wafungwa pamoja na kusimamia yote ambayo yalitendeka mle gerezani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo mkuu wa gereza alimweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa wote humo gerezani; kila kitu kilichofanyika humo kilifanywa kwa mamlaka yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliokuwemo gerezani; na yote yaliyofanywa humo, yeye ndiye aliyeyafanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39