Mwanzo 37:4-5
Mwanzo 37:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ndugu zake walipoona kwamba baba yao alimpenda Yosefu kuliko wao, wakamchukia hata hawakuzungumza naye kwa amani. Usiku mmoja, Yosefu aliota ndoto, lakini alipowasimulia ndugu zake, wao wakazidi kumchukia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani. Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari, nao wakazidi kumchukia
Shirikisha
Soma Mwanzo 37