Mwanzo 37:26
Mwanzo 37:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutapata faida gani tukimuua ndugu yetu na kuficha mauaji yake?
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda akawaambia ndugu zake, Kwafaa nini kumwua ndugu yetu, na kuificha damu yake?
Shirikisha
Soma Mwanzo 37