Mwanzo 37:14
Mwanzo 37:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa hiyo akamwambia, “Nenda uone kama ndugu zako wako salama, na makundi pia, kisha uniletee habari.” Basi akamtuma Yusufu kutoka Bonde la Hebroni. Yusufu alipofika Shekemu
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Baba yake akamwambia, “Nenda ukawaangalie ndugu zako na wanyama kama wako salama, kisha uniletee habari.” Basi, Yakobo akamtuma Yosefu kutoka bonde la Hebroni. Yosefu alipokaribia Shekemu
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Nenda, basi, ukaone kama ndugu zako hawajambo, na kundi nalo li salama, ukaniletee habari. Basi akamtuma kutoka bonde la Hebroni, na akafika Shekemu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37