Mwanzo 37:13
Mwanzo 37:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Israeli akamwambia Yosefu, “Unajua ndugu zako wanachunga wanyama kule Shekemu. Kwa hiyo nataka nikutume kwao.” Yosefu akajibu, “Niko tayari.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Israeli akamwambia Yusufu, Je! Ndugu zako hawachungi kondoo katika Shekemu? Njoo, nikutume kwao. Akamwambia, Mimi hapa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37