Mwanzo 36:13
Mwanzo 36:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.
Shirikisha
Soma Mwanzo 36Mwanzo 36:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Shirikisha
Soma Mwanzo 36