Mwanzo 32:1-2
Mwanzo 32:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Yakobo aliendelea na safari yake. Basi, malaika wa Mungu wakakutana naye. Yakobo alipowaona, akasema, “Hili ni jeshi la Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali hapo Mahanaimu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakobo akashika njia yake na malaika wa Mungu wakakutana naye. Naye Yakobo alipowaona, alisema, Hili ni jeshi la Mungu. Akapaita mahali pale, Mahanaimu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32