Mwanzo 3:9-10
Mwanzo 3:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? Akasema, Nilisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?” Naye akamjibu, “Nimesikia hatua zako bustanini, nikaogopa na kujificha, maana nilikuwa uchi.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? Akasema, Nilisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3