Mwanzo 3:8
Mwanzo 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Jioni, wakati wa kupunga upepo, huyo mwanamume na mkewe wakasikia hatua za Mwenyezi-Mungu akitembea bustanini, nao wakajificha kati ya miti ya bustani, Mwenyezi-Mungu asipate kuwaona.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3