Mwanzo 3:7
Mwanzo 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara macho yao yakafumbuliwa, wakatambua kwamba wako uchi; hivyo wakajishonea majani ya mtini, wakajifanyia mavazi ya kiunoni.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajitambua kuwa wako uchi, wakashona majani ya mtini, na kujifanyia mavazi ya kusitiri uchi wao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3