Mwanzo 3:3
Mwanzo 3:3 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3