Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 3:24 - Compare All Versions

Mwanzo 3:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Alimfukuza nje, na kuweka mlinzi upande wa mashariki wa bustani ya Edeni na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia iendayo kwenye mti wa uhai.

Shirikisha
Mwanzo 3 BHN

Mwanzo 3:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huku na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.

Shirikisha
Mwanzo 3 SRUV

Mwanzo 3:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.

Shirikisha
Mwanzo 3 SUV

Mwanzo 3:24 NEN (Neno)

Baada ya kumfukuzia mbali Adamu, Mungu akaweka makerubi mashariki mwa Bustani ya Edeni, pamoja na upanga wa moto ukimulika kila upande kulinda njia ya kuuendea mti wa uzima.

Shirikisha
Mwanzo 3 NEN