Mwanzo 3:22
Mwanzo 3:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele
Shirikisha
Soma Mwanzo 3