Mwanzo 3:2-3
Mwanzo 3:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3