Mwanzo 3:13
Mwanzo 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwuliza huyo mwanamke, “Umefanya nini wewe?” Mwanamke akamjibu, “Nyoka alinidanganya, nami nikala.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3