Mwanzo 3:12 - Compare All Versions
Mwanzo 3:12 BHN (Biblia Habari Njema)
Huyo mwanamume akajibu, “Mwanamke uliyenipa akae pamoja nami ndiye aliyenipa tunda la mti huo, nami nikala.”
Shirikisha
Mwanzo 3 BHNMwanzo 3:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.
Shirikisha
Mwanzo 3 SUVMwanzo 3:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.
Shirikisha
Mwanzo 3 SRUVMwanzo 3:12 NEN (Neno)
Adamu akasema, “Huyu mwanamke uliyenipa awe pamoja nami alinipa matunda ya huo mti, nami nikala.”
Shirikisha
Mwanzo 3 NEN