Mwanzo 3:1
Mwanzo 3:1 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Basi nyoka alikuwa mjanja kuliko wanyama pori wote ambao Bwana Mwenyezi Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini walioumbwa na Mwenyezi-Mungu. Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
Shirikisha
Soma Mwanzo 3