Mwanzo 29:20 - Compare All Versions
Mwanzo 29:20 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Yakobo akamtumikia Labani miaka saba kwa ajili ya Raheli, lakini kwake muda huo ulikuwa kama siku chache, kwa vile alivyompenda Raheli.
Shirikisha
Mwanzo 29 BHNMwanzo 29:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.
Shirikisha
Mwanzo 29 SRUVMwanzo 29:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.
Shirikisha
Mwanzo 29 SUVMwanzo 29:20 NEN (Neno)
Kwa hiyo Yakobo akatumika miaka saba ili kumpata Raheli, lakini ilionekana kwake kama siku chache tu kwa sababu ya upendo wake kwa Raheli.
Shirikisha
Mwanzo 29 NEN