Mwanzo 24:60
Mwanzo 24:60 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakambariki Rebeka wakisema, “Ewe dada yetu! Uwe mama wa maelfu kwa maelfu; wazawa wako waimiliki miji ya adui zao.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 24Mwanzo 24:60 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakambariki Rebeka, wakamwambia, Dada yetu, wewe uwe mama wa elfu kumi, mara elfu nyingi, na wazao wako waurithi mlango wa hao wawachukiao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 24