Mwanzo 23:1
Mwanzo 23:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara.
Shirikisha
Soma Mwanzo 23Mwanzo 23:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia moja na ishirini na saba, ndio umri wake Sara.
Shirikisha
Soma Mwanzo 23