Mwanzo 22:8
Mwanzo 22:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Abrahamu akamjibu, “Mwanangu, Mungu mwenyewe atatujalia mwanakondoo wa sadaka ya kuteketezwa.” Basi, wakaendelea na safari yao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22Mwanzo 22:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abrahamu akasema, Mungu atajipatia mwana-kondoo kwa hiyo sadaka, mwanangu. Basi wakaendelea wote wawili pamoja.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22