Mwanzo 2:9
Mwanzo 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akaotesha kutoka ardhini kila aina ya miti mizuri izaayo matunda yafaayo kwa chakula. Katikati ya bustani hiyo kulikuwa na mti wa uhai na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2