Mwanzo 2:8
Mwanzo 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akapanda bustani huko Edeni, upande wa mashariki, na humo akamweka huyo mwanamume aliyemuumba.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2