Mwanzo 2:7
Mwanzo 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu akamfanya mwanamume kwa mavumbi ya udongo, akampulizia puani pumzi ya uhai, na huyo mwanamume akawa kiumbe hai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa kiumbe hai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2