Mwanzo 2:5
Mwanzo 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi-Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua, wala hapakuwa na mtu wa kuilima.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana BWANA Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi
Shirikisha
Soma Mwanzo 2