Mwanzo 2:3
Mwanzo 2:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akaibariki siku ya saba na kuitakasa, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika baada ya kazi yake yote ya kuumba.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mwanzo 2