Mwanzo 2:18
Mwanzo 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Si vizuri huyu mwanamume kuwa peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2