Mwanzo 2:17
Mwanzo 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)
lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 2