Mwanzo 2:12
Mwanzo 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Dhahabu ya nchi hiyo ni safi kabisa. Huko pia kuna marashi yaitwayo bedola na vito viitwavyo shohamu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na dhahabu ya nchi ile ni njema; huko kuna bedola, na vito shoham.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2