Mwanzo 2:10
Mwanzo 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kulikuwa na mto huko Edeni uliotiririka maji na kuinywesha hiyo bustani; kutoka huko mto huo uligawanyika kuwa mito minne.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ukatoka mto katika Edeni wa kuitilia bustani maji, na kutokea hapo ukagawanyika kuwa vichwa vinne.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2