Mwanzo 2:1-2
Mwanzo 2:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyokamilika pamoja na vitu vyote vilivyomo. Siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya kazi yake yote aliyofanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mbingu na nchi zikamalizika kuumbwa, na jeshi lake lote. Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote. Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2